Matthew 13:16-17

16 aLakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia. 17 bAmin, nawaambia, manabii wengi na wenye haki walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.

Maelezo Ya Mfano Wa Mbegu

(Marko 4:13-20; Luka 8:11-15)

Copyright information for SwhKC